HUDUMA ZA NATAFUTA
* Kutafuta shule na vyuo -ndani na nje ya nchi.
* Kutafuta vitabu na wachapishaji mbalimbali
* Kutafuta bidhaa na huduma mbalimbali ndani na nje ya nchi
* Kutafuta marafiki na wachumba wa Kiswahili/Kiafrika
* Kutafuta vyumba/nyumba popote Afrika Mashariki na ya kati
* Kutafuta usafiri na uchukuzi popte Afrika Mashariki na ya
Kati
* Kutafuta utafiti na watafiti wa kila aina duniani.
* Kutafuta ushauri na washauri wa kila aina ndani na nje ya
nchi.
* Kutafuta habari, makala, picha na katuni za aina mbalimbali.
* Kutafuta masoko ya bidhaa ndani na nje ya nchi.
* Kurahisisha kazi za taasisi zisizo za kiserikali na misaada
kwa
walengwa mbalimbali. |