Maskani Habari tafuta hapa Kuhusu sisi Kazi zetu Wasiliana nasi
 
KUHUSU NATAFUTA

NATAFUTA ni mtambo tafutizi wa Kiswahili toka Afrika Mashariki.

Lengo la mtambo huu ni kukusaidia kupata kwa urahisi kile ukitafutacho katika mtandao.

Pamoja na hilo mtambo huu utakuwa na masuala mbalimbali muhimu kwa wale wazungumzao Kiswahili ikiwa ni pamoja na kurahisisha upatikanaji na umilikaji habari, utafiti, bidhaa, mali na huduma za kila aina.

Unakaribishwa kuchangia mawazo yako juu ya namna gani mtambo tafutizi huu unaweza kuwa wa matumizi bora na manufaa makubwa zaidi kwa watumiaji wa lugha ya Kiswahili.

Haki zote zimeifadhiwa hakimiliki@eahp2005.com